Jana Prof.Lipumba aliongea jambo la maana sana...42%is the total # of those who voted,kwa ninavyoelewa a president must be voted to a 50% and above(majority)sasa,this wud mean uchaguzi urudiwe..koz jk nam-quote Lipumba"jk anakuwa rais wa wachache,na wengi wasio wana CCM"..JE,katiba ye2 inasemaje kuhusu majority vote?:thinking: