Hii sawa jamani?

Et unakuja kuomba ushauri!Ama kweli wewe huna hata chembe ya sifa ya kuitwa ME!
 

???????????? pole ukiona manyoya?
 
Siku ukimwambia huyo mpenzi wako pumbavu wee...... Atang'ang'ania muachane na hata taka mrudiane tena na baada ya siku nne atakuambia nimepata mpenzi mpya huyu hapa ongea nae kwenye simu
 
Hadi chupi. .., alijuaje size??? Unahitaji degree ya sociology kujua kama unaibiwa?
 

Mimi nina mtazamo tofauti kidogo. Inawezekana una mkono wa birika kwa mchumba wako hivyo hiyo ni kama anakupa feedback kuwa kuna wenzako wanahudumia ndio maana anakushirikisha.

Lakini pia anakushirikisha ili hata siku ukiwafuma kwenye angle tata uone ni kitu cha kawaida.

Cha kufanya kama amemnunulia kitu ambacho hata wewe unaweza kukitumia kama simu, chukua hiyo zawadi na uanze kuitumia na hakikisha huyo rafiki yako anaiona tena ikiwezekana mshukuru. Roho lazima imuume.
 
Habari nyingine kama hizi unaweza fikiri mtu anatania..!!?

Ila kweli yametokea..!? MAAJABU.
 
Rafiki kuleta zawad kwa siri kwa mchumba wako hapo kat kuna connection ambayo huijui!!! Hebu ashtuke tu halaf huyo dada mzima.kweli naona anapokea tu zawad asijue kupokea tu ajue na kutoa huko kukushirikisha kusikutie shaka anataka ajihami mapema likimbumburukia hilo boom lake la kishuzi shuzi
 

mmmh na mi nataka nkuletee zawadi...
 
Kusoma hujui basi hata picha kutazama huelewi akili mu kichwa baba ushafanywa babu jinga
 
Mkuu ukiona manyoya ujue kaliwa kuwa makini na huyo rafiki yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…