Maandiko ya Mungu yenyewe yanasema kila kitu ni kiasi,Mithali 25:16-17 Je! Umeona asali? "Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika." 17 "Mguu wako" usiingie nyumba ya jirani ila "kwa kiasi" Asije "akakukinai na kukuchukia".Kila jambo ni kwa kiasi,ukizidisha au kupunguza ni dhambi,Galatia 5:18-21....21 husuda,ulevi,"Ulafi",....ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.Yesu akasema "..Basi,jingalieni,mioyo yenu isije ikalemewa na "ulafi",......huyo binti amepitiliza kipimo akifikiri ni sahihi,kumbe si sawa kwa wa andiko la Mungu.