palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
khaaa braza acha kuwazia wenzio mabaya
Aisee nashukuru sana kwa kunileta mtaa huu kwenye mambo yangu! Wewe ni rafiki tena ndugu yangu wa karibu sana kwa kuwa unajua haya makitu ndo ugonjwa wangu na huachi yakanipita hivi hivi! Nakushukuru sana mkuu!kyalankota umepita mtaa huu
yani Mungu wengine katuumba haraka haraka ajaweka udongo mwingiuumbaji wa Mungu huo...halafu huyu atakuwa aliumbwa siku ya mwisho..udongo ulibaki mwingi ikabidi ukandikwe tu huko nyuma mana kulikuwa hakuna namna
yani Mungu wengine katuumba haraka haraka ajaweka udongo mwingi
ha ha ha wapi hapo?Hahahah...we atakuwa kakuwekea sehemu nyingine
ha ha ha wapi hapo?
see u next seasonKifuani na mahips
see u next season
ha ha haha thank uHa ha ha...I will be here waiting
Taabu gani mkuu, unamaanisha katka kum kaffin?akifa atawapa watu tabu huyo