chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,897
akifa atawapa watu tabu huyo
akifa atawapa watu tabu huyo
mambo ya shehe kipozeo hayo.
khaaa braza acha kuwazia wenzio mabaya
khaaa braza acha kuwazia wenzio mabaya
kifo kipo pale pale atamke asitamke.kama kuzaliwa ni tendo jema kwa nini kifo liwe tendo baya?
sawa mkuu ila sidhani kama kufa utalinganisha na kuzaliwa
Kuzaliwa ni bahati ila kufa ni LAZIMA upo hapo?
sawa mkuu
kwa team vibamia hii ni sumukweli MUNGU fundiii
kwa team vibamia hii ni sumu