Hii sasa Sifa na leo tena Nyama?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Jamani nimechoka kuumizwa pua na majirani zangu na huuu ukata

Kila siku vitunguu swaumu kunukia ,pilau ,Biliani sijui Nyama tu

Napitisha mchango wa bajeti ya nyama chonde chonde mchango angalau December yote nipate meat and Fish

Nitawakumbuka katika ufalme wangu marafiki Mpesa,Tigo Pesa na Airtel Money vinakaribishwa

Kutoa ni moyo( Wengine wanajichotea vijisenti tu vya ESCROW)

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Ndimu mutoto muzuri FL1:confused2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom