Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Hivi jamani😳mtu amekupigia cmu unamwambia nipo hosp yf amelazwa na mtoto anaumwa pia,anakwambia pole then anakata simu!kisha baada ya muda mfupi anakusms eti"nakumbushia ule mchango wa harusi" mtu kama huyu unamchukuliaje na unamjibu nini jamani😳

Binafsi nakerwa sana na hii michango ya siku hizi,imekua ya lazima badala ya hiari!
Hivi jamani