Hii Sapraizi imekaaje?

Nani alikudanganya Kaboom anatekwaga? Huyo huwa anajiteka mwenyewe na akiamua anarudi, hata sio wa kumuwazia, ila siku akitekwa kweli ndio basi tena!!

Ndo hapo, siku akitekwa tutashindwa kumtafuta tukijua amejiteka kama kawaida yake.
 
Sapraizi zangu Ni kuletewa tu boxer na singlend......

Kumbe ukioa unaletewa..... Nyumba

Dah
Si bora hata hizo unapata kaka shemeji, mie sapraizi zangu ni za kuomba pesa tu,ila usiulize matumizi yake.
 
Sasa ulete usenge ndani ya nyumba ndo utajua nyumba yenu au yake
 
Hahahaaaaaaa!!! Umenifanya nicheke kwa nguvu.
Kesho atakuambia ameoa na ana watoto wawili mara ghafla yeye na mkewe wote bikra!!
 
Kuna baba alijenga kwenye kiwanja cha mkewe, basi kila wakigombana mkewe anamwambia ang' oe nyumba yake amuachie kiwanja chake. Akili ilimkaa sawa akajenga kwingine wakahamia na ile wakaipangisha na kumkabidhi mkewe documents zote.
 
Hahahaaaaaaa!!! Umenifanya nicheke kwa nguvu.
Kesho atakuambia ameoa na ana watoto wawili mara ghafla yeye na mkewe wote bikra!!

Shemeji mimi hadi nikikuona naona aibu tu, nikikumbuka siku tuliyoleta mahali halafu kaka mtu najifanya kusema eti huyu mdogo wetu tumemlea kwa maadili, kwa mwanenu atakuwa kwenye mikono salama.
 
Shukuru kwa kila Jambo mkuu. Maana angekusapraizi kwa kukuletea Mume mwenzio sijui ungefanyaje mkuu!?
 
me sioni kama kuna tatizo kwahiyo suprise ifurahie na umpongeze sehemu iliyobaki malizia ww
 
Shemeji mimi hadi nikikuona naona aibu tu, nikikumbuka siku tuliyoleta mahali halafu kaka mtu najifanya kusema eti huyu mdogo wetu tumemlea kwa maadili, kwa mwanenu atakuwa kwenye mikono salama.

Nakukumbuka na mauongo yako, nilipogundua kuwa nimeingia chaka nikatoka baruuuu.
 
Ushauri mzuri kutoka kwa mwanamke.

Big up aisee, umeongea bila unafiki wowote
 
Sasa mkuu kama hauna shaka ya mke wako kujenga nyumba hapa unataka nini maana inaonyesha ana uwezo wa kufanya ivo we nawe jenga nyumba fanya supraizi wala hakuna tatzo mbona wanaume tunawafanyia hao supraiz za nyumba,magali nk
 
Wewe mwenyewe unatu saprizi vip vyombo mama mkwe mlimpa?
 
Saprize inayofuata apo ni mtoto wakichina wakati ww ni mmakonde
 
Ni sawa ndio maana kakupeleka na imekamirisha maana halisi ya suprize.
 
Umempa madaraka ya kulevya! Inaelekea mchepuko wake nguvu ya finishing ameishiwa au huenda ameaga dunia. Surprise gani na nyumba haija isha????
 
Si bora hata hizo unapata kaka shemeji, mie sapraizi zangu ni za kuomba pesa tu,ila usiulize matumizi yake.
Teh teh Sasa hiyo nayo Ni supraise????? Au Bomu la machozi.

Dada shemej hizo pesa tangu uanze kuomba naamini utamfanyia surprise ya ghorofa
 
Sapraizi mfulilizo ni zipi hizo? Asijepata presha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…