kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu pesa za wakat wa ukoloni wapi naweza badilisha?
Asante mkuumkuu una mikono michafu sana
Acha utani mkuuNakupa misimbazi miwili faster. Njoo pm
Wapi naweza exchange?Dah! umeshakuwa tajiri kirahisi kabisa! Ukipata mteja mzuri, unaweza ukapata vimilioni vya kutosha. Utaweza kununua V8 kali, kajumba fulani ka ghorofa, na chenji ya kutosha tu inabakia. Kila la heri mkuu.
Pesa ndogo bossmisimbazi minne njoo pm . niko serious
Hizo nimeokota sana pori la Selous miaka kama 20 imepita. Mpaka leo zipo nyingi sema tu ulinzi umeimarika siku hizi. Kuna mahali kuna sanduku wajerumani wamelifunga juu ya mti wa mkwaju nahisi zipo pesa za kutosha. Twende tukalidondoshe lile sanduku. Hizo pesa kuna dua ya kijerumani ukizisomea na kisha kuziabudu zinakuja pesa Kama zote za kibongoAcha utani mkuu
Sasa mwanaume ulitaka awe na mikono laini? Aisee Fuchsmkuu una mikono michafu sana
aroo!Hizo nimeokota sana pori la Selous miaka kama 20 imepita. Mpaka leo zipo nyingi sema tu ulinzi umeimarika siku hizi. Kuna mahali kuna sanduku wajerumani wamelifunga juu ya mti wa mkwaju nahisi zipo pesa za kutosha. Twende tukalidondoshe lile sanduku. Hizo pesa kuna dua ya kijerumani ukizisomea na kisha kuziabudu zinakuja pesa Kama zote za kibongo
Kuna dogo baba yake alikuwa tajiri kwa kuabudu rupia ila sasa kavuta.aroo!
Sasa hiyo dua ndugu unaijua? Twende tukajaribu zali mazee.