Mkuu huyo kijana mashalallha allahu barik kaumbika ama kweli mungu huwa hamtupi mja wake kwa hivo alivopendiza kwa kujiremba na hicho kizibao na huwo ushanga na kal kit naona si ya kawaida ni vya gaharama na hapo naona madada zetu namna wanavo pigana vikumbo kila mmoja huwa anseman nipishe mimi ama kweli wamenena usione vyaelia kumbe vimeundwa sadakta kipenzi cha mungu