Hii plate number imekaaje!!

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
728
Wakuu,
Ingekuwa hapa kwetu TRA ingembamiza ukutani kabla hajaingia barabarani..teh..teh..teh..
 

Attachments

  • IMG_0549[1].JPG
    519.9 KB · Views: 359
  • IMG_0551[1].JPG
    553.6 KB · Views: 872
unanikumbusha hadithi ya jamaa moja aliyekuwa anaishi Japan miaka ya 80s kwenye mji unaoanzia na hio plate number *halafu inaishia na herufi "MOTO". alishindwa kuwaandikia wazazi wake barua mpaka ikabidi iwe awaombe jamaa wa mji mwingine ili apitishie barua kwao....Duniani kuna mambo.. tusi kwa lugha yako pengine ni pongezi kwa lugha ya mwenzio... wote tumetoka kwa Mwuumba Mmoja!!
 

Duh umenichekesha kweli BabuK. Labda huko kulikuwa wanaishi waafrika wengi wakiwa na za moto tu...teh..teh..teh..
 
Mabwaku....Tanzania kuna watu wanatumia jina MBORO hivi wakiomba plate number iandikwe hivyo itakubaliwa? Just thinking....
 
Mabwaku....Tanzania kuna watu wanatumia jina MBORO hivi wakiomba plate number iandikwe hivyo itakubaliwa? Just thinking....
Umenikumbusha classmate wangu wa olevel alikuwaga na jina hilo!lol
 
nina uhakika 1000000% aliepiga hii picha ni mtanzania au ametoka EAC countries.
 
Mabwaku....Tanzania kuna watu wanatumia jina MBORO hivi wakiomba plate number iandikwe hivyo itakubaliwa? Just thinking....
.. Ni jamaa wa kutoka Kilimanjaro niliyekuwa naye JKT na alitohoa jinalake kwa kuongeza R ya pili na mwishoni kuweka H.... It sounded sincere!!! Wakati afande anapomwita kwenye roll call alilitaja jina lake la kwanza na kumalizia.."yuleyule"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…