Hii Picha unaitafsiri vipi?

Tumedhalilishwa sana ndugu zangu
 
Hayo ni Maonyesho ya nane nane hayo kule kwa zulu na Swaziland yapo hayo

Sio huku tz tumezoea kuonyesha maboga tu hata hizo ni mboga ndo maana zinaonyeshwa

Sisi wakazi Swazi tunaita Eswatini. Unavuta kidogo unasema Eswatiiinii
 
hili ni festival la ukaguz wa bikra kwa ajiri ya kumpata mke wa mfalme. wakat mwingine ni tu internal audit. kwetu hatuamin katika bikra wala kitu chochote fresh/organic. ndo mana hata ukiomba kazi unaulizwa uzoefu wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…