Hii picha inatufundisha nini?

CCM wameachiwa sana kusema sasa wanaanza kusema uozo na pumba

La ajabu wameruhusiwa kusema, sasa wanajisema wenyewe na kugombana wenyewe.
Vyama vya upinzani, na wote wanaohisiwa kuwa wapinzani wamepigwa hii kitu.

Haya mambo yanayoendelea yangelitoka vyama pinzani, wangesha kamatwa na kutiwa ndani. Sasa ni nani wa kunfunga paka kengele? Vijana wanataka kuwafukuza wazee kwenye chama baada ya kukitumikia kwa muda mrefu, je wazee watakubali?
 
Sasa hivi musiba anaogopwa sana CCM kuliko bashiru katibu mkuu wa CCM, leo bashiru katukana sana wazee wake wastaafu na CCM wenzake lakini musiba hajajaribu hata kumtaja
 
Sasa hivi musiba anaogopwa sana CCM kuliko bashiru katibu mkuu wa CCM, leo bashiru katukana sana wazee wake wastaafu na CCM wenzake lakini musiba hajajaribu hata kumtaja

Unataka achezee sharubu za simba? Anajua yote yanayoendelea, sasa unafikiri yeye hajipendi?
 
Sasa hivi musiba anaogopwa sana CCM kuliko bashiru katibu mkuu wa CCM, leo bashiru katukana sana wazee wake wastaafu na CCM wenzake lakini musiba hajajaribu hata kumtaja
Huu si wakati wa kampeni lakini unaruhusiwa kutumia santuri yako mwenyewe ukiwa umelala
 
Tatizo la wanaccm hawajalelewa ni nini aongee kitu gani na wakati gani kulingana na position na heshima hichi kitawakosti maisha yao yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…