Hii picha ina maana gani?

Katumia nguvu nyingi kuwekeza kwenye muonekano baadala ya kuwekeza kwenye maarifa.

Thqmani ya muonekano wake wa nje ni kubwa kuliko thamani ya akili yake

Handsome with zero brain
 
Thamani ya ubongo wake ni Sifuri ila amevaa mavazi yenye Gharama na kumiliki vitu vya Gharama
 
Kipato kidogo anachopata anamaliza kwa anasa
Hapo anakuwa hana akili kabisa
Na fainali uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…