Hii picha ina maana gani?

Hii picha ina maana gani?

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,840
Reaction score
2,423
Wenye uelewa tafadhari mnijuze kuhusiana na hii picha.
cd4a6c0712beba6a2003ba46e42260a5.jpg
 
Wenye uelewa tafadhari mnijuze kuhusiana na hii picha.
View attachment 716836
Kila mtu ana tafsiri yake hapo. Wewe umiza kichwa tafsiri kwa uelewa wako laa sivyo unataka ushikiwe akili kwa kukubaliana na kulishwa tafsiri ya mwingine.
Hiyo picha sio hesabu kuwa jibu (tafsiri) ni certain. Hesabu 1+1=2, sio kama hiyo picha.
 
Mimi ninaweza lkn ninawaogopa watu wasiojulikana
 
Hizo ni mythical IDs ambazo zinatafsiri pana sana kwenye ulimwengu wa majini na nguvu za nyota.
 
Hizo ni atafsiri za RAMLI.... ZA KICHAWI.,... WAPIGA RAMLI wa KIZUNGU... wanatumia ALAMA hizo..
 
Hizo ni mythical IDs ambazo zinatafsiri pana sana kwenye ulimwengu wa majini na nguvu za nyota.
Naona kuna utatu hapo(3) namba kuu duniani na yenye siri nzito kuna wahusika wa anga,kuna wa ardhini pia kuna wa,majini....
 
Kila mtu ana tafsiri yake hapo. Wewe umiza kichwa tafsiri kwa uelewa wako laa sivyo unataka ushikiwe akili kwa kukubaliana na kulishwa tafsiri ya mwingine.
Hiyo picha sio hesabu kuwa jibu (tafsiri) ni certain. Hesabu 1+1=2, sio kama hiyo picha.
Umetumwa,ww embu peleka guu mbele huko...
 
Back
Top Bottom