Nadhani nimegundua Rashford ana kichwa kidogo; Pili amelala slant kidogo kwahio ile view yake kuendelea kuonyesha udogo wake pili comparison imefanyika na mwingine mwenye kichwa kikubwa kwa kuangalia side view ambayo huwa ni kubwa kuliko front view ya kichwa (kwahio front view ya mmoja mwenye kichwa kidogo imekuwa compared na side view ya mwingine ambayo huwa ni kubwa)