H hoop Member Joined Mar 16, 2017 Posts 45 Reaction score 22 Apr 19, 2017 #1 Nimepata pesa imeandikwa Bank of korea 1000won
Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,659 Reaction score 7,948 Apr 19, 2017 #2 Ni dogo Sana, ni shilingi 1961.5. Kwa kifupi haivuki 2000/= ya Tanzania.
ngoma ya ukae JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 611 Reaction score 621 Apr 19, 2017 #3 Watanzania tunavyojifanya tuna haraka km pesa zingekuwa zinatangulia kutoka wengi wetu tungekuwa tunasahau kadi kwenye mashine ...maana wengine wakishaona pesa tu akili hupagawa.
Watanzania tunavyojifanya tuna haraka km pesa zingekuwa zinatangulia kutoka wengi wetu tungekuwa tunasahau kadi kwenye mashine ...maana wengine wakishaona pesa tu akili hupagawa.
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,474 Reaction score 20,431 Apr 19, 2017 #4 hoop said: Nimepata pesa imeandikwa Bank of korea 1000wonView attachment 498148 Click to expand... Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!!
hoop said: Nimepata pesa imeandikwa Bank of korea 1000wonView attachment 498148 Click to expand... Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!!
H hoop Member Joined Mar 16, 2017 Posts 45 Reaction score 22 Apr 19, 2017 Thread starter #5 Manjagata said: Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!! Click to expand... Mkuu we utakuwa mwanaume wa dar, unataka mikono iwe laini kwani mi mwanamke,,,,,kwaio mikono yako ni kama ya dadako pole sana mkuu
Manjagata said: Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!! Click to expand... Mkuu we utakuwa mwanaume wa dar, unataka mikono iwe laini kwani mi mwanamke,,,,,kwaio mikono yako ni kama ya dadako pole sana mkuu
N Ntu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,038 Reaction score 697 Apr 19, 2017 #6 Poise said: Ni dogo Sana, ni shilingi 1961.5. Kwa kifupi haivuki 2000/= ya Tanzania. Click to expand... 1KRW=1.959TSH 1000KRW=X X=1000KRWX1.959TSH 1KRW =TSH1959
Poise said: Ni dogo Sana, ni shilingi 1961.5. Kwa kifupi haivuki 2000/= ya Tanzania. Click to expand... 1KRW=1.959TSH 1000KRW=X X=1000KRWX1.959TSH 1KRW =TSH1959
Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,659 Reaction score 7,948 Apr 19, 2017 #7 Ntu said: 1KRW=1.959TSH 1000KRW=X X=1000KRWX1.959TSH 1KRW =TSH1959 Click to expand... Jibu lako ni sawa na langu. Hasa, haivuki buku 2000/=
Ntu said: 1KRW=1.959TSH 1000KRW=X X=1000KRWX1.959TSH 1KRW =TSH1959 Click to expand... Jibu lako ni sawa na langu. Hasa, haivuki buku 2000/=
L lolo123 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 458 Reaction score 483 Apr 19, 2017 #8 Manjagata said: Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!! Click to expand... Husika na mada....mikono ya mwanaume mwenzako inakuhusu nn....au ww ni shoga umtamani?khaa!!
Manjagata said: Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!! Click to expand... Husika na mada....mikono ya mwanaume mwenzako inakuhusu nn....au ww ni shoga umtamani?khaa!!
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,349 Reaction score 25,215 Apr 19, 2017 #9 Ni sawa na dola billion kadhaa za zimbabwe!
H hoop Member Joined Mar 16, 2017 Posts 45 Reaction score 22 Apr 19, 2017 Thread starter #10 lolo123 said: Husika na mada....mikono ya mwanaume mwenzako inakuhusu nn....au ww ni shoga umtamani?khaa!! Click to expand... Mkuu watu wa dizaini hii nahisi ndo kigwangala anawatafuta
lolo123 said: Husika na mada....mikono ya mwanaume mwenzako inakuhusu nn....au ww ni shoga umtamani?khaa!! Click to expand... Mkuu watu wa dizaini hii nahisi ndo kigwangala anawatafuta