bila shaka ni windowmimi nimejaribu kutumia usb tofauti tofauti ila imekataa kabisa..
kuna mda inasema usb not recognized na mara nyingi ina chaji tuu lakin kwenye pc aionekani..
nikichukua usb inayokataa kwenye pc yangu nikajaribu kwa pc nyingine inakubali tena bila shida..
tatizo ili linanisumvua kwa muda mrwfu sasa...siwezi kutumia pc yangu kucopy vitu kutoka kwenye sim..inanilazimu nichukue flash niende kwenye pc ya mtu niunganishe sim nicopy kwenye flash ndio nije niweke kwenye pc yangu...waungwana naomben msaada katika ili
pc yenyewe ni dell
Mimi yangu ni window7, inasumbua balaa, ngoja nifanye kama ulivyoelekeza hapo juu, maana nimebadili waya na port lakini tatizo bado lipo. Kama kuna njia nyingine zaidi nijuze mkuu nitatue hili tatizo.bila shaka ni window
au sio?
- 8
- 10
then iyo huwani MTP driver ndo shida
kufix jaribu kutumia
- driverbooster
- drivereasy
chomeka simu yako then scan by using any software above
fanya hiyo kwnzaMimi yangu ni window7, inasumbua balaa, ngoja nifanye kama ulivyoelekeza hapo juu, maana nimebadili waya na port lakini tatizo bado lipo. Kama kuna njia nyingine zaidi nijuze mkuu nitatue hili tatizo.
Jaribu ku tether badala ya kutumia cable! Nenda wireless network kwenye computer yako. Upande wa chini kulia, afu upabinye.Mimi yangu ni window7, inasumbua balaa, ngoja nifanye kama ulivyoelekeza hapo juu, maana nimebadili waya na port lakini tatizo bado lipo. Kama kuna njia nyingine zaidi nijuze mkuu nitatue hili tatizo.
mkuu hizo codes unazipata wapi.....huwa sielewi namna ya kuzipataJaribu ku tether badala ya kutumia cable! Nenda wireless network kwenye computer yako. Upande wa chini kulia, afu upabinye.
Kisha nenda settings kwenye simu yako, binya wireless network tafuta tethering afu ubinye, utafute zile codes ujaze kwenye pale ulipobinya kwenye computer kisha ruhusu connection.
bila shaka ni window
au sio?
- 8
- 10
then iyo huwani MTP driver ndo shida
kufix jaribu kutumia
- driverbooster
- drivereasy
chomeka simu yako then scan by using any software above
hotspot ndio kama unataka kutumia wireless kutoka kwa simu yako kwenda kwa pc....washa hotspot kwa simumkuu nakwama kwenye kutafuta iyo wireless kwenye cm,au unamaanisha hotspot??
Install driver pack solutionmimi nimejaribu kutumia usb tofauti tofauti ila imekataa kabisa..
kuna mda inasema usb not recognized na mara nyingi ina chaji tuu lakin kwenye pc aionekani..
nikichukua usb inayokataa kwenye pc yangu nikajaribu kwa pc nyingine inakubali tena bila shida..
tatizo ili linanisumvua kwa muda mrwfu sasa...siwezi kutumia pc yangu kucopy vitu kutoka kwenye sim..inanilazimu nichukue flash niende kwenye pc ya mtu niunganishe sim nicopy kwenye flash ndio nije niweke kwenye pc yangu...waungwana naomben msaada katika ili
pc yenyewe ni dell
hotspot ndio kama unataka kutumia wireless kutoka kwa simu yako kwenda kwa pc....washa hotspot kwa simu