Hii ofa ya tigo ni ya wanafunzi ama wapigisha simu vibandani?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Hii utaiona Tanzania tu

Tigo wametoa punguzo la mbs kwa wanafunzi wa chuo toka 500Mbs-10Mbs
Sec 6000+
msg 100+

Swali langu mwanafunzi sec zote za nini hizo..

Msg zote za nini hizo

Anapigisha kibandani ..Hii ni ofa kwa mfanyabiashara naamini kabisa mwanafunzi anaitaji mbs kufanya searching za material hasa kwenye assignment...

Zamani tulikuwa lazima twende library kwenye comp leo hii masimu yanatoa kila kitu..NAFIKIRI Soln kwa wanafunzi muwe na line ya halotel mtaweza kutafuta kila mnachotaka kwa mbs za nguvu
 
we mzamiaji tuu... wanafunzi walosajiliwa yao hii hapa.. #tigo
1458508448146.jpg
 
ila bora wamewadhibiti maana ulikua unakuta baba zima na likitambi lake eti nalo linazuga ni lianafunzi linaenda kujinga vifurushi vya chuo
Kwani elimu ya chuo umri wa mwisho kuwa mwanafunzi ni miaka mingapi? Hebu acha uvivu wa kufikiri
 
Hii utaiona tz tu

tigo wametoa punguzo la mbs kwa wanafunzi wa chuo toka 500mbs-10
sec 6000+
msg 100+

swali langu mwanafunzi sec zote za nini hizo..

Msg zote za nini hizo

anapigisha kibandani ..HII N ofa kwa mfanyabiashaa naamini kabisa mwanafunzi anaitaji mbs kufanya searching za material s hasa kwenye assignment...

Zamani tulikuwa lazima twende library kwenye comp leohii masimu yanatoa kila kitu..NAFIKIRI Soln kwa wanafunzi muwe na line ya halotel mtaweza kutafuta kila mnachotaka kwa mbs za nguvu




tigo washawasajili wanafunzi wa chuo,mwanafunzi nw anajiunga popote pale hat uwe kijjn kwen huko simiyu nk,kna gb1 imerud km kawaida n kile kifurushi cha zaman kikichokuwa kinapatikan *148*01*20#

nw unajiunga *148*00# km njia ya kawaida ya nyinyi wengine,ukiselect one ofa maalum,den utaselect university offer no 2,menu hii itakuja kwako endapo tu umesajiliwa,lakn km vice vesa kwak itakuja kabang ndef n makorokoro mengine

#kifurushi kile mlichokuwa mnakuja chuo kujiunga kitafungiwa ndo maana wameanza kuwapunguzia huduma taratibu!
 
Back
Top Bottom