Hii nimeipenda sana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nimeipenda sana...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbweka, Oct 20, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Jambo jema la mabasi ya Dar Express kuanza kupiga route za Mwanza - Moshi limenipa faraja kubwa sana hasa kwa ndugu zetu waishio mikoa hiyo.
   
 2. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa.
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  kimbweka bana! ....lol... Hata mimi nimeipenda hii..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo kimbweka mwanza moja enhee kwa kina DC Masha..
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,471
  Trophy Points: 280
  sijaamini bado.
   
 6. M

  MyTz JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tangu lini mkuu??
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hii ni habari njema inaelekea kale ka ukali cha Mh Pombe kameongeza kasi ya umaliziwaji wa barabara ya lami Arusha - Singida, labda itakuwa imebaki kipande kidogo mno.
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie nimeambiwa leo maana kuna mdogo wangu alikuwa Moshi anaenda Mwanza na amepanda Dar Express
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Halina upingamizi si unajua huduma za hawa jamaa, maji, soda, pipi n.k sasa wakina ZUBERI, AM, na MTEI wakae chonjo, maana jamaa kwenye fani ya transportation naona anaimudu sana
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Umekuwa Tomaso eeh, haya siku moja utaamini...
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Usalama wa mabasi yao vipi? Si yale kila leo ajal?????i!!! au nachanganya mambo. Tunawakaribisha sisis wa Mwanza, lakini tunatanguliza usalama jamani.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dar express ni wazuri na hawana rekodi mbaya!
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Inaelekea huwajui kabisa hawa jamaa" DAR EXPRESS NI USAFIRI UNAOAMINIKA NA WA USALAMA KABISA" hawana mambo ya kufukuzana wala kugombania abiria, Wazazi wa Jiji la Dar ambao watoto wao husoma mikoa ya Arusha na Moshi huyakodi haya mabasi kwa kuwarudisha watoto wao home wakati wa likizo au kuwapeleka katika shule! Fanya utafiti utafahamu mkuu
   
Loading...