Hii nimeikuta kwenye wall ya John Kitime!!Facebook

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
John Kitime | Facebook
[h=6]Kazi zingetajwa kwa majina haya wengine tungezifanya tu hebu fikiria;

1. Shamba Boy - Landscape Executive and Animal Nutritionist

2. Haus gelo - Domestic Operations Specialist

3. Typist - Printed Document Handler

4. Mesenja - Regional Business Communications Conveyer

5. Msafisha madirisha - Transparent Wall Technician

6. Mwalimu wa Twishen– Associate Tutor

7. Mhudumu wa Chai - Refreshments Overseer

8. Mzoa taka- Public Sanitation Technician

9. Mlinzi - Area Theft Prevention and Surveillance Officer
10. Receptionist - Office Access Control Specialist

13. Mpishi - Food Technician and Preparation Officer .[/h]
 
Tatizo la ajira kwa vijana lingeisha
 

he he he.. na business card tungezitengeneza kwa title hzo.
 
Huo ndiyo ukweli wenyewe! Ha ha ha haaaa....!!!!
 
Nadhani ni sahihi. Labda kazi zote hizo zingebeba umeneja zingeeleweka, kwamba Shamba Boy aitwe 'Landscape and Animal Nutrition Manager'. Mhudumu wa chai aitwe 'Refreshments Manager' n.k.
 
nimemkubali Kitime anatisha kama simba,lakini kaka kiiza ulisoma ngwini nini?kweli ukitoka 10 unaenda 13?!
 
nimemkubali Kitime anatisha kama simba,lakini kaka kiiza ulisoma ngwini nini?kweli ukitoka 10 unaenda 13?!
Mkuu hayo maswali ni kitime maana nimekuwekea na link lakini bado umeniuliza kweli wabongo tumeshindikana kwa maswali!!
 
nadhani mimi nipo kinyume na anavyoamini Kitime, watu hawakatai hizo kazi kwa kuwa tu majina yake hayavutii bali hizo kazi maslahi yake ni duni na wala hazishahabiani na hali halisi ya maisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…