MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
inamana mke wa mganga anachapwanao sana
Hahahahahaa shikamoo mwalimu
sio mke wa mgaga
Cookie, Naomba upeleke hii thread jukwaa la Jokes+Udaku please! Inafaa sana huko.jamaa, alifumaniwa na mke wa mganga. Nyeti zake zikachukuliwa. Ilibidi kesho aende kuomba radhi. Mganga akamletea ungo uliojaa viungo nyeti vya kiume. Jamaa akashindwa kuitambua yake. Ilibidi amlilie mkewe ili akaitambue ishu yake. Walipofika ikawa hivi;
mke akasema ya kwetu ni hii hapa ndogo nyeusi. Hee..hii iliyopinda ni ya jirani yetu.hii ndefu ni ya Padre Robati.Hii nyeupe ni ya mpemba,na hii ni ya docta,na hii ni ya rafiki yako wa TRA,hii ya Aron,,
hizi tatu ni za wale mafundi waliokuja kufunga umeme,na hili kubwa ni la mwalimu wa kwaya yetu.
Jamaa akakata roho..!
TAFAKARI
jamaa, alifumaniwa na mke wa mganga. Nyeti zake zikachukuliwa. Ilibidi kesho aende kuomba radhi. Mganga akamletea ungo uliojaa viungo nyeti vya kiume. Jamaa akashindwa kuitambua yake. Ilibidi amlilie mkewe ili akaitambue ishu yake. Walipofika ikawa hivi;