Jamaa mmoja alikuwa amevaa miwani meusi mchana na ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kuvaa hiyo miwani.
Kwakuwa alikuwa mshamba na hiyo miwani basi ilipofika majira ya saa 11 jioni aliona ndio tayari jua limeshazama hvyo alisimama barabarani na kuanza kukojoa.
Alisikia sauti za watu wakimuuliza anafanya nini ndipo akarudisha dude lake ndani alipokuja kuvua miwani akagundua kumbe bado giza lilikuwa halijazama....!!!