Ukiitazama hiyo picha uzuri, utagundua huyo jamaa sio mtoto.
1-Kwanza maeneo ya ndevu yamezungukwa na weupe ambao kwa (mlio ishi na watu weupe) utagundua amenyoa ndevu.
2-Tazama paji ka uso utaona dalili za utuuzima wa jamaa kwa pic.
3-Tazama mikono hasa wa kulia jisi alivyo kamatilia (ak47) utabaini mikono ya ukomavu wa mtu mzima.