Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Akija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....Mnaonaje Zanzibar tuwape Kenya?
Maana mmezidi kwa vijembe
Wakina Lissu walimlalamikia sana Mkapa kwenye madini.Akija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
Heshima yako jf inazidi kushuka.Akija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
Truth hurtsHeshima yako jf inazidi kushuka.
Hawakosi manenoAkija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
Rais Muislamu hafi madarakani wala nje ya madarakaAkija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
Lini marais wakristo hawajawahi kukosolewa utusibitishie ? Unazidi kujizalilisha kwa kuendelea kuleta hoja za udini kila sikuAkija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
Huyu mtu mimi nimeshamuweka kwenye kundi la watu wa hovyoHeshima yako jf inazidi kushuka.
Muungano wa hovyo sana huu...upo kuipendelea ZanzibarSera ya Nyerere ya kutuunganisha na Zanzibar ambayo raisi wa Zanzibar anakwenda China kuwauzia ardhi ya Tanganyika waliopewa kutunza ng'ombe kutoka Tanganyika kabla hawajawasafirisha kwenda Zanzibar kule Bagamoyo leo rais wa Zanzibar anakwenda kuingia ubia na nchi ya kigeni ardhi ya nchi nyingine ya Tanganyika..
Butiku haioni jinsi Nyerere ametuingiza watumwa wa wazanzibqri na Butiku alikuepo ktk sera hizo leo analalamika nini! Kosa waliofanya haioni?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Heshima yake ipo na itaendelea kuwepo,ongea kwa upande wako wewe,unataka kila mtu aongee kinachokufurahisha wewe tu? nyie si ndio hua mnalilia freedom of speech? sasa inakuwaje unataka kuanza kuwapangia watu chakuandika?Heshima yako jf inazidi kushuka.
Hata mimi nilisha kuweka wewe kwenye kundi la watu wajinga.Huyu mtu mimi nimeshamuweka kwenye kundi la watu wa hovyo
Kobazi muwepesi sana kukimbilia kwenye mwamvuli wa dini kukwepa miale ya ukosoajiAkija Rais Mkatoliki husikii malalamiko haya ....
UtuthibitishieLini marais wakristo hawajawahi kukosolewa utusibitishie ? Unazidi kujizalilisha kwa kuendelea kuleta hoja za udini kila siku