Uchaguzi 2020 Hii ni tofauti kati ya kampeni za CCM na CHADEMA

Hamna njaa Mara hamna ajila Mara mshahara haipandi.mbona hapo chadema siwaelewi
Mkuu una uhakika sisi wapenzi na washabiki wa upinzani hatuna hoja?
We dogo unaweza shindana nasi kwa hoja,ukatushawishi ???

Tofauti Ni kuwa sisi hatulipwi, hatuko njaa oriented tuko rational na hatuko biased
 
Umesahau baadhi ya Tofauti za muhimu!
  1. CCM inapigiwa kampeni kwa nguvu kubwa sana ya uongo LAKINI CHADEMA inajinadi yenyewe kwa hoja na sera.
  2. CCM inatengenezewa mteremko wa wagombea kupita bila kupingwa LAKINI CHADEMA wanapambana kiume, hakuna aliyepita bila kupingwa.
  3. CCM Inatumia rasilimali za umma katika kufanya kampeni zake LAKINI CHADEMA wanajibeba kwa mali na rasilimali zao halali za chama.
  4. CCM wanalazimisha watu na kuwabeba kwenda kusikiliza hotuba za mgombea wao LAKINI kwenye mikutano ya CHADEMA watu wanatiririka wenyewe, wafanyakazi wanatoroka maofisini, wenye maduka na biashara wanafunga biashara zao na kujumuika kumsikiliza mgombea wa CHADEMA.
  5. CCM katika kampeni hizi, ni chama pekee kilicho na hofu kuu LAKINI CHADEMA hakina hofu, No blaa blaa ni mwendo wa sera na hoja madhubuti.
  6. ILANI ya CCM imerefushwa kwa kuongezewa na nyimbo 500 za kina Diamond platnamz, LAKINI ILANI ya CHADEMA imesheni hoja na vipaumbele vinavyogusa "Uhuru Haki na Maendeleo Endelevu ya Watu". Just to mention a little!
 
Back
Top Bottom