Hii ni tindikali au uzee?

Yaani unataka kusema nimefanana na ngambili?
hebu ladyfurahia niombe msamaha fasta, kabla sijawaeleza watu mambo yako uliyoyafanya kwenye fiesta ya Kigoma
(Nakutania mwayego)


Hapana Buji hufanani na NGAMBILI bali unafanana na NGWITWA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…