Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
Hhaha hahah hahaha du, asante kwa kunsababishia tabasamu pana mchana huu wa leoface erosion hiyo
Naombeni jibu jamani.
Kwa hiyo jamaa anakongoroka kwa ajili ya stimela na makatapela ya kachaso, usifanye mchezo
Naombeni jibu jamani.
Town magonjwa mengi jamaniHuyo atakuwa anaumwa ugonjwa wa town.
Huyo atakuwa anaumwa ugonjwa wa town.
Yaani unataka kusema nimefanana na ngambili?uameamua kujionesha sura tukuone ulivyo
unamuiga Mtambuzi alivyokuwa kigali nini?
haya uza sura bestito
Yaani unataka kusema nimefanana na ngambili?
hebu ladyfurahia niombe msamaha fasta, kabla sijawaeleza watu mambo yako uliyoyafanya kwenye fiesta ya Kigoma
(Nakutania mwayego)
Huyo atakuwa anaumwa ugonjwa wa town.
Tindidhaifu hiyo na si tindikaliNaombeni jibu jamani.