Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,396
3,481
Kwangu mimi hii ni timu bora ya wakati wote kwa ngazi ya klabu. Walifanya kila kitu katika mchezo wa soka, walinyanyasa timu zote kubwa, ilikuwa ushafungea kabla ya kuingia uwanjani. Unakubaliana na mimi? Karibu kwa hoja
IMG_8636.jpg
 
Barca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Mpira waliocheza usiku wa hizo 5-0 unasemwa hakuna timu yoyote duniani iliyoweza kucheza hivyo.

Kabla ya hapo inatajwa Brazil ya 1970.
Na usiku mwingine wa fainali na Man u walioshinda 3-1.

Barca hiyo haiwezi tena kutokea. Ninayo video ya 5-0 dhidi ya Madrid huiangalia mara kwa mara.

Nakubaliana na mleta Mada
 
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshuka
1622222987012.jpg
 
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshukaView attachment 1800616
Mnataka kumpinga bure mleta mada.. Leta takwimu ya barca hiyo na barca hii ya guardiola.
 
Back
Top Bottom