Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,020
- 104,295
Unajilaza ukishalewa na kuzidiwa na utamu wa kitimoto š„Ndo nimesoma uzi..
Kwahyo mkuu mimi najilaza barabarani then huyo.bushmomy ndo ananiuliza mimi lengo langu ni lipi..
Mbaga jiheshumu we jamaa mi silewi..
Na kwanini nikajilaze pembezoni mwa mtaro ambako kuna mwanga hafifu