Mikopo kausha damu
Kakopa Million 30 kajenga nyumba
Kabla hajalipa akakopa tena Million 70 kajenga nyumba nyingine kanunua gari
Kabla hajalipa mkopo wa kwanza na wa pili akataka akope Million 200 ili alipe Million 30 ambayo ilibakia kidogo kumalizia na Million 70 ambayo tayari bank walishazuia nyumba ya Million 30
Kabla hajapata mkopo wa Million 200 bank ikagundu ana nyumba nyingine aliyojenga kwa ile Million 70 wakaizuia pia akawa hana dhamana kwa mkopo wa Million 200 aliyokua anataka kukopa
Nyumba ya Million 30 ikauzwa na bank ili kurudisha hela yake
Akabakia na nyumba ya mkopo wa Million 70 kabla hajapata mkopo akasimamishwa kazi akawa hana kazi tena
Bank iliyotaka kumpa Million 200 ikakataa kumpa mkopo kutokana na record yake ya kutolipa mikopo
Nyumba aliyoijenga kwa kutumia baadhi ya pesa za Million 70 ikawa inataka kupigwa mnada na bank inayomdai Million 30
Akauza Gari ili alipie walau mkopo wa Million 70 ila haikutosha
Bank inayomdai mkopo wa Million 70 nayo ikazuia nyumba aliyoijenga kwa Million 70 kukawa na conflict za bank 2 zote zinataka kuiuza nyumba 1
Akabakia hana pa kwenda
Ana mke na mtoto mmoja mdogo
Hivi mtu km huyu akishakunywa atashindwa kwenda kulala kando ya barabara akiwa kalalia tumbo ili gari ikikosea njia basi imkanyage tu afe?