Hii ni Tabia ya aina Gani

Hii ni Tabia ya aina Gani

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,416
Reaction score
18,445
Kuna mtindo umezuka siku hizi wa vijana na wanaume usiku wakishakunywa pombe na kulewa hawaendi nyumbani bali wanajilaza Kwa kulalia tumbo pembezoni mwa barabara na Mahali ambapo hamna mwanga mkali wa taa.

Bado lengo kuu la watu wa aina hii haijajulikana
 
Kwani upo bush ipi Mamy?
 
Ni stress mkuu zimewadhidi wengine maisha magumu na hawana wa kuwafariji
 
Kuna mtindo umezuka siku hizi wa vijana na wanaume usiku wakishakunywa pombe na kulewa hawaendi nyumbani bali wanajilaza Kwa kulalia tumbo pembezoni mwa barabara na Mahali ambapo hamna mwanga mkali wa taa.

Bado lengo kuu la watu wa aina hii haijajulikana
IMG_5697.jpeg
 
Mikopo kausha damu

Kakopa Million 30 kajenga nyumba
Kabla hajalipa akakopa tena Million 70 kajenga nyumba nyingine kanunua gari
Kabla hajalipa mkopo wa kwanza na wa pili akataka akope Million 200 ili alipe Million 30 ambayo ilibakia kidogo kumalizia na Million 70 ambayo tayari bank walishazuia nyumba ya Million 30
Kabla hajapata mkopo wa Million 200 bank ikagundu ana nyumba nyingine aliyojenga kwa ile Million 70 wakaizuia pia akawa hana dhamana kwa mkopo wa Million 200 aliyokua anataka kukopa
Nyumba ya Million 30 ikauzwa na bank ili kurudisha hela yake
Akabakia na nyumba ya mkopo wa Million 70 kabla hajapata mkopo akasimamishwa kazi akawa hana kazi tena
Bank iliyotaka kumpa Million 200 ikakataa kumpa mkopo kutokana na record yake ya kutolipa mikopo
Nyumba aliyoijenga kwa kutumia baadhi ya pesa za Million 70 ikawa inataka kupigwa mnada na bank inayomdai Million 30
Akauza Gari ili alipie walau mkopo wa Million 70 ila haikutosha
Bank inayomdai mkopo wa Million 70 nayo ikazuia nyumba aliyoijenga kwa Million 70 kukawa na conflict za bank 2 zote zinataka kuiuza nyumba 1
Akabakia hana pa kwenda
Ana mke na mtoto mmoja mdogo

Hivi mtu km huyu akishakunywa atashindwa kwenda kulala kando ya barabara akiwa kalalia tumbo ili gari ikikosea njia basi imkanyage tu afe?
 
Akina Poor Brain wanalalia tumbo Ili kubana tumbo Ili lichelewe kufanya digestion ya pombe na kitimoto walivyokula 🔥
Mbaga acha ukafiri siri kitimoto mimi..
Mbona mna mambo ya ajbu nyie mnajua washaanza kunilaumi huku inbox wakizani mi nafanya hayo mambo..

Jaribuni kuniheshimu mi mtu na heshima zangu bana...
 
Kuna mtindo umezuka siku hizi wa vijana na wanaume usiku wakishakunywa pombe na kulewa hawaendi nyumbani bali wanajilaza Kwa kulalia tumbo pembezoni mwa barabara na Mahali ambapo hamna mwanga mkali wa taa.

Bado lengo kuu la watu wa aina hii haijajulikana
Wapi huko?
 
Mbaga acha ukafiri siri kitimoto mimi..
Mbona mna mambo ya ajbu nyie mnajua washaanza kunilaumi huku inbox wakizani mi nafanya hayo mambo..

Jaribuni kuniheshimu mi mtu na heshima zangu bana...
Ila dhambi nyngn unafanya fresh tuu au sio 😎
 
Back
Top Bottom