Hii ni sodoma na gomola

Hii ni sodoma na gomola

Mwanairinga ni kweli. Nilikuwa naenda mbagala leo asubuhi kupitia mbozi road nikapita hapo nipate mtori. Saa mbili asubuhi watu bado wanakesha mchana. Kwa kweli niliogopa sana aisee. Sio akina mama, akina Dada. Dah. Ila kuna sura niliziona kama sura za kazi. Wakishapiga usiku wanakuja pale kula bata.
 
Ndiyo hivo mkuu ila watu wanabisha hawajui mkuu
 
Makahaba watawatangulia kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
source- Bible

wanatambuliwa na akaaye juu ya kiti cha enzi yule ambaye mleta mada anadai kuwa ana hofu yake.
 
Makahaba watawatangulia kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
source- Bible

wanatambuliwa na akaaye juu ya kiti cha enzi yule ambaye mleta mada anadai kuwa ana hofu yake.

Mimi cijaona hiyo bible labda yako!
 
Moderator sidhani kama ni haki kuweka namba za simu za watu mtandanoni bila ridhaa yao.
 
Last edited by a moderator:
Umalaya Ni Biashara Kongwe Duniani, Hata Vitabu Vitakatifu Vinahitaja Biashara Hii Inayolipa Kadiri Utumikavyo. Biashara Hii Ipo

legalized Kwa Nchi Zilizoendele.. Nenda Amsterdam, Brussells na Miji Kama The Hague Serikali Zinakusanya Kodi Na ulinzi Umewekwa

Kufanya Biashara bila Bugudha. Hii Biashara Ni Kuiwekea Mazingira Mazuri,Iwe Biashara halali Ili Serikali yetu Ikusanye Kodi Na Maisha

Yaendelee. Hii Ni Fursa Kama fursa Nyingine Kwa Maana awa Wajasiliamali Pesa Wanapata Nyingi tu Na Kodi ya Kaisali Hawalipi.

Wapewe na zile mashine za TFD sijui..ili waweze kutupa risiti tukaoneshe wake zetu!!
 
Back
Top Bottom