Hii ni simu aina gani

Eti inauzwa Tsh 2,300,000. Yaani milion mbili na laki tatu!
Mtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!
Halafu Inawezekana kaletewa zawadi na “ GSM Home Shopping Centre “!
 
Kuna kipindi alikua anatumia xiaomi tena redmi series kuna ile picha ililetwa na mwanajamii forum mwenzetu ikionesha kapiga selfie na familia yake na maamdishi ya redmi chini .iko kwenye ule uzi wangu wa watumiaji wa xiomi
Mtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!
Halafu Inawezekana kaletewa zawadi na “ GSM Home Shopping Centre
 
Mtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!
Halafu Inawezekana kaletewa zawadi na “ GSM Home Shopping Centre “!
Ila huyu Mzee alipata urais akiwa na umri wa
Chin Sana Yan mke wake kutoka first ladie
Mpaka kua MP aisee
 
Mkuuu lazima itakua yenyewe haiwez kua fugazi alafu kimsimgi hio sio simu mpya niya 2019

Kiufupi yupo nyuma ya muda. Sie wapagazi tu tupo kwenye S21 ultra now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…