Hii ni sayansi au uchawi.....

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
6,904
Reaction score
9,832
....Is this science(gravitational forces), witchcraft or man made...??

.....Je katika really world kweli inaweza exist au kiini macho?

Au ni man made, mabeberu wametengeneza wapige pesa za utalii?
 
Hayo sio mawe..ni bati hilo ndio sanaa hiyo sasa sio sisi tunabaki kuchonga vinyago tu
 
Hayo sio mawe..ni bati hilo ndio sanaa hiyo sasa sio sisi tunabaki kuchonga vinyago tu
Kumbe hizi ni Sanaa tu sio zawadi za watu weupe wakija kutembelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…