hii ni sawa kweli?

hii ni sawa kweli?

halafu mkiambiwa kagueni simu za wapenzi wenu mnagoma.........


Ila si unajua wanaume ni mabingwa wa kutafuta viranga nje na kuharibu ndoa zao? Usishangae....... Tena ukichunguza utakuta kaanza na mkewe akiwa na suruali mosha mashati mawili na godoro....akishapata dudu inalia mbwata mbwata anamwona mkewe hafai.....

BADILI TABIA umeongea vyema sana. kuna kila dalili kwamba huyu mwanaume ni dikteta na mkewe hana ruksa kushika vitu vyake ndo maana amekua na guts za kufanya hivyo. so usishangae kukuta anachati na kimada wake hata mpaka usiku akiwa home.
 
Last edited by a moderator:
Graca my dear, usichokijua hakikusumbui. Mkewe hatakuwa na tabia ya kupekuwa Simu ya mumewe na huenda anaishi kwa amani tu.

Mpaka nitakapopata uhakika usio na mashaka kuwa kumfuatilia mwanaume sana kunamfanya awe mwaminifu; suntatumia muda wangu adhimu kwa biashara hiyo.

Akinipa sababu yoyote ya mashaka nitaongea naye (a real talk) ambapo hawezi fanikiwa kunidanganya. Nitakapoona mapenzi hayapo siwezi kuendelea naye na kuishi kwa matumaini lkn kamwe sitamfuatilia.

As for kitendo cha huyo mbaba kuweka picha kwa jina la mdada kuna:-
1. Ana confidence ya hali ya juu au
2. Heshima kwa mkewe haipo kabisa (unapo cheat tayari heshima inakuwa imepungua) au
3. Ndoa yao haipo bali wana some sort of commitment tu au
4. Ni arrogant fulani asiye jali hisia za watu wengine.
Lakini kwangu mimi kosa la msingi ni Usaliti, tena bora nimpate wa hivi kuliko yule NYOKA anayetumia THE GUIDE ya The Boss.
 
Last edited by a moderator:
Eversmilin Gal pole mwaya maana najua inauma kuwa na mtu ambaye hajali hisia zako wala maumivu.. aah bora niendekeze ubachela tu maana naona hawa watu wengi wao tabia zao zafanana.

Tatizo la hapo dada yangu utaishia kugegedwa sana na kina mzabzab.

Ila mi nafahamu wanaume tuliotulia tupo:rockon:...the only thing nyie mnatafuta th bad boys alafu mnageneralize kuwa ndo wanaume wote!!!:yo:
 
Last edited by a moderator:
Kosa liko wapi mbona dini zote tu zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, usiwasikia wakristo wakisema hairuhusiwi si kweli hawaijui bibilia, kama wanaijua kweli bibilia wasinge pinga mafunzo ya Yesu. kama wanabisha watazama hapa kwenye verses zile za Old Testament ambazo zianruhusu polygamy.

In Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.

In
2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.

In
1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.

In
2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.

Na katika
Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons.."

Ziko nyingi tu verses from the Old Testament that zinaruhsu kuowa wake zaidi ya mmoja, but I think that the above are sufficient enough to prove my point :biggrin:

Afu utakuta mkristo anajidai anampenda Yesu kweli kweli na Yesu ni Mungu wao, lakini hawafati mafunzo ya bibilia inavyo sema, bibilia inasema kama kweli unampenda Yesu na una amini Yesu ni Mungu, kunywa sumu na hauwezi kufa, nani anaweza kufanya hayo katika mkristo, subutu...kama nasema uwongo watazama hapa Mark 16:18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well." :biggrin:

Msinichukie ndugu zangu wakristo bure siku njema:A S shade:
 
Graca my dear, usichokijua hakikusumbui. Mkewe hatakuwa na tabia ya kupekuwa Simu ya mumewe na huenda anaishi kwa amani tu.

Mpaka nitakapopata uhakika usio na mashaka kuwa kumfuatilia mwanaume sana kunamfanya awe mwaminifu; suntatumia muda wangu adhimu kwa biashara hiyo.

Akinipa sababu yoyote ya mashaka nitaongea naye (a real talk) ambapo hawezi fanikiwa kunidanganya. Nitakapoona mapenzi hayapo siwezi kuendelea naye na kuishi kwa matumaini lkn kamwe sitamfuatilia.

As for kitendo cha huyo mbaba kuweka picha kwa jina la mdada kuna:-
1. Ana confidence ya hali ya juu au
2. Heshima kwa mkewe haipo kabisa (unapo cheat tayari heshima inakuwa imepungua) au
3. Ndoa yao haipo bali wana some sort of commitment tu au
4. Ni arrogant fulani asiye jali hisia za watu wengine.
Lakini kwangu mimi kosa la msingi ni Usaliti, tena bora nimpate wa hivi kuliko yule NYOKA anayetumia THE GUIDE ya The Boss.

asante Kaunga kwa mtazamo wako. mi pia naamini mkewe hashiki kabisa simu ya mme ndo maana amekuwa na huo uthubutu..

sasa hilo na kusema kumfanya mkewe naona kama nalo ni tatizo.. maana anasema kuwa yy kabila lao mitala ruksa despite of religuous matters..

kiukweli nimejikuta nikijiweka kwenye nafasi ya huyo mama ambae wana over 12 years kwenye ndoa nikawa sipati picha.

and you know siwexi mweleza mkewe maana sio sawa.. ndoa za siku hizi!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la hapo dada yangu utaishia kugegedwa sana na kina mzabzab.

Ila mi nafahamu wanaume tuliotulia tupo:rockon:...the only thing nyie mnatafuta th bad boys alafu mnageneralize kuwa ndo wanaume wote!!!:yo:

Mentor bora uje unichumbie nitajitolea mahari mwenyewe hawa bad boys mhh.. nataka huu mwaka uwe wa mwisho kugegedwa na mzabzab.
 
Last edited by a moderator:
Kosa liko wapi mbona dini zote tu zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, usiwasikia wakristo wakisema hairuhusiwi si kweli hawaijui bibilia, kama wanaijua kweli bibilia wasinge pinga mafunzo ya Yesu. kama wanabisha watazama hapa kwenye verses zile za Old Testament ambazo zianruhusu polygamy.

In Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.

In
2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.

In
1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.

In
2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.

Na katika
Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons.."

Ziko nyingi tu verses from the Old Testament that zinaruhsu kuowa wake zaidi ya mmoja, but I think that the above are sufficient enough to prove my point :biggrin:

Afu utakuta mkristo anajidai anampenda Yesu kweli kweli na Yesu ni Mungu wao, lakini hawafati mafunzo ya bibilia inavyo sema, bibilia inasema kama kweli unampenda Yesu na una amini Yesu ni Mungu, kunywa sumu na hauwezi kufa, nani anaweza kufanya hayo katika mkristo, subutu...kama nasema uwongo watazama hapa Mark 16:18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well." :biggrin:

Msinichukie ndugu zangu wakristo bure siku njema:A S shade:

fazaa kwa hiyo wewe unaona yupo sahihi according to vifungu ulivyoviweka hapo?

kama ni hivyo amtambulishe kwa mkewe ili ajue wapo wawili officially.
 
Last edited by a moderator:
.... maana anasema kuwa yy kabila lao mitala ruksa despite of religuous matters..

and you know siwexi mweleza mkewe maana sio sawa.. ndoa za siku hizi!!

Huoni kumbadilisha mtazamo mtu kama huyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu? Suppose she knows which l suppose she has an idea of what is going on; atafanya nini zaidi ya kuumia, kugombana, kujihisi hafai au she is not woman enough au kingine kuomba talaka if she can't stand it.

Nami sikushauri kumwambia, it is not up to you to do so. Unachoweza fanya ni kumsihi huyo mbaba a-come clean to his wife si anataka kuoa bwana.
 
fazaa kwa hiyo wewe unaona yupo sahihi according to vifungu ulivyoviweka hapo?

kama ni hivyo amtambulishe kwa mkewe ili ajue wapo wawili officially.
Graca , hapa navyo fahamu mimi mwanaume anamuambia tu mke wake mimi naongeza mke wa pili, yani ana mu infom tu ili ajue mme wake anaenda kuongeza mke wa pili.

Si lazima amjulishe naye huyo mke wa pili hakuna dini ambayo inasema vile, ile mwanaume sijui amjulishe naye sio lazima wako wanaume wanafanya vile lakini sio lazima:biggrin:
 
Huyu jamaa labda alifungishwa ndoa ya mkeka....
 
Graca , hapa navyo fahamu mimi mwanaume anamuambia tu mke wake mimi naongeza mke wa pili, yani ana mu infom tu ili ajue mme wake anaenda kuongeza mke wa pili.

Si lazima amjulishe naye huyo mke wa pili hakuna dini ambayo inasema vile, ile mwanaume sijui amjulishe naye sio lazima wako wanaume wanafanya vile lakini sio lazima:biggrin:

asante fazaa nimekupata ila dah ni ngumu sana kiukweli.. mi najijua wala si rahisi kukubali..lol
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt hebu waite waje watuelezee kwann hii hali.. kweli usimwonee huruma mkeo? hatukatai kweli wengine wanakua na nyumba ndogo lakini si inakuwa siri? naona kama yy amejiachia sana
Inategemea.
 
mambo ya ndoa haya..sasa huko si kuuana tu kwa presha mwenzie akijua? lol mimi nikimkamata sijui nitamfanya nn!!
 
asante fazaa nimekupata ila dah ni ngumu sana kiukweli.. mi najijua wala si rahisi kukubali..lol
Little Angel, njia moja wapo ya kukupeleka peoponi ni hio uwe na subra na hukuna kitabu cha dini chochote kinacho mshauri mwanaume aowe mke mmoja tu kama Qur'an.

The Quran is the only Holy Book that contains the phrase "...marry only one." Vitabu vyote vya dini vinasema tuowe tu zaidi ya mke mmoja, na vingine vimesema tuowe wengi tu, lakini Quran inasema tusizidishe wanne:biggrin:

Qur'an 4:3 marry such women as seem good to you, two and three and four; but if you fear that you will not do justice (between them), then (marry) only one..."

Ukweli unauma wanawake, na lazima mkubali tu, kitu kilicho ruhusiwa na Mungu hamuwezi kukizuia, siku hizi mna bahati tu, wanaume wengi tumekuwa tunarudhika na mke mmoja tu, lakini mkienda sijui kisheria hamuwezi kumzuia mwanaume kuongeza mke wa pili kabisa kabisa:biggrin:
 
mamiiiiiiiiii mbona umenisusa sana mwenzio?? nimekukosea nini mpendwa wangu binti yangu wa rohoni.

Wala sijakususa Mpenzi wa moyo wangu nakupenda sana tu na nimekumiss vibaya sema ntakupm tuchat vyema

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum
 
kuna binadamu bila kuchokonoa maandiko na imanimza wenzao nafsi zao huwa hazina amani...........
Mark 16:18
anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa mapepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekez wagonjwa mikono, nao watapona."


msioende kugeuza maandikomya wenzenu bila sababu. Huyo mwanamke ni hawara. Na maanfiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote. Haoo huyo mume angeheshimu ndoa yake na hawara angeheshimu ndoa ya huyo mwanaume leo asingekuwa hawara wa huyo baba. Haifai kutaka kujustify uzinzi wa mtu........

Na kanisa lina utaratibu wake kumbuka mathayo 18:18 imetoa mamlaka

"nawaambieni kweli chochote mtakachokifunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachokifungua duniani kitafunguliwa mbinguni.




Kosa liko wapi mbona dini zote tu zinaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, usiwasikia wakristo wakisema hairuhusiwi si kweli hawaijui bibilia, kama wanaijua kweli bibilia wasinge pinga mafunzo ya Yesu. kama wanabisha watazama hapa kwenye verses zile za Old Testament ambazo zianruhusu polygamy.

In Exodus 21:10, a man can marry an infinite amount of women without any limits to how many he can marry.

In
2 Samuel 5:13; 1 Chronicles 3:1-9, 14:3, King David had six wives and numerous concubines.

In
1 Kings 11:3, King Solomon had 700 wives and 300 concubines.

In
2 Chronicles 11:21, King Solomon's son Rehoboam had 18 wives and 60 concubines.

Na katika
Deuteronomy 21:15 "If a man has two wives, and he loves one but not the other, and both bear him sons.."

Ziko nyingi tu verses from the Old Testament that zinaruhsu kuowa wake zaidi ya mmoja, but I think that the above are sufficient enough to prove my point :biggrin:

Afu utakuta mkristo anajidai anampenda Yesu kweli kweli na Yesu ni Mungu wao, lakini hawafati mafunzo ya bibilia inavyo sema, bibilia inasema kama kweli unampenda Yesu na una amini Yesu ni Mungu, kunywa sumu na hauwezi kufa, nani anaweza kufanya hayo katika mkristo, subutu...kama nasema uwongo watazama hapa Mark 16:18 they will pick up snakes with their hands; and when they drink deadly poison, it will not hurt them at all; they will place their hands on sick people, and they will get well." :biggrin:

Msinichukie ndugu zangu wakristo bure siku njema:A S shade:
 
kuna binadamu bila kuchokonoa maandiko na imanimza wenzao nafsi zao huwa hazina amani...........
Mark 16:18
anayeamini na kubatizwa ataokolewa. Asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa mapepo na watasema kwa lugha mpya. Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru. Watawawekez wagonjwa mikono, nao watapona."


msioende kugeuza maandikomya wenzenu bila sababu. Huyo mwanamke ni hawara. Na maanfiko yanasema ndoa na iheshimiwe na watu wote. Haoo huyo mume angeheshimu ndoa yake na hawara angeheshimu ndoa ya huyo mwanaume leo asingekuwa hawara wa huyo baba. Haifai kutaka kujustify uzinzi wa mtu........

Na kanisa lina utaratibu wake kumbuka mathayo 18:18 imetoa mamlaka

"nawaambieni kweli chochote mtakachokifunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachokifungua duniani kitafunguliwa mbinguni.

BADILI TABIA , Mungu katupa sote akili sawa tusifanye hasira hapa, hebu toa point yangu wapi nilipo kosea, yule mwanaume anasema anataka kumuoa yule mwanamke, hakusema anataka awe hawara yake tazama quote ya Graca inasema nini
ana mpango wa kumfanya mke maana anampenda sana

Afu hio Bibilia nitolee wapi nimekosea, hata wewe umekubaliana na mandishi niliyo yaweka, kutokana na Bibilia, Yesu anasema; Anaye amini hapo inakusudia anaye muamini yeye ni Mungu anaweza kunywa sumu na hafi nikikupa we sumu utakunywa, afu pia sidhani Mungu au Yesu anataka watu wafe kabla ya wakati wao, nadhani muandishi wa bibilia alitaka kuwa-uwa tu watu, ili waende motoni...mana kujiuwa unaenda motoni tu- kabla ya siku zako--na anaye fanya vile ni shetani tu ili awapeleke wengine motoni sababu hataki kuwa peke yake motoni:A S shade:
 
Tatizo la hapo dada yangu utaishia kugegedwa sana na kina mzabzab.

Ila mi nafahamu wanaume tuliotulia tupo:rockon:...the only thing nyie mnatafuta th bad boys alafu mnageneralize kuwa ndo wanaume wote!!!:yo:

hahha sasa sie wakimzabzab sji yunajua weaknes ya wanawake ni diahelele so tunawachapa nalo hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom