Hii ni sawa kweli?

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
852
Reaction score
204
Serikali ya Nigeria imetoa agizo kuwa wanawake wanaovaa suruali za kubana wachapwe viboko hadharani ili kufanya jamii iwe na adabu kabisa.
Je, unauonaje uamuzi huu?-Voice of Zigua
 
KUTOKANA na kuporomoka ki maadili naiona hiyo ni sahihi kabisa jpm angeiruhusu na uku hiyo ingekuwa vyema sana
 
Serikali ya Nigeria imetoa agizo kuwa wanawake wanaovaa suruali za kubana wachapwe viboko hadharani ili kufanya jamii iwe na adabu kabisa.
Je, unauonaje uamuzi huu?-Voice of Zigua
View attachment 418054

Labda sheria hii ni kwa North Nigeria....lakini kwa maeneo ya South, East na Central Nigeria sheria hii haitafanya kazi....
 
Safi, mkosaji lazima aadhibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…