SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,796
Mimi ni mudadaNgono unatoa na kazi hupewi bro
mduku wako ulikuwa hatarini bhandugu.niliwahi kuomba kaz kwa mwaraabu akaniambia kaz utapata ila nataka huduma ya ziada.Nljitafakar mm kama mto wa kiume ntatoa huduma gani.Ilnibid niachane na hiyo kaz maramoja
Dsm inabidi ukae kijanja kumeharibika balaamduku wako ulikuwa hatarini bhandugu.
I know rightMimi ni mudada
Umejuaje?Wanaume wanahongana kwa kupeana jicho la kati
Oyaaa njooni hii jf Ina vichaa ππ Mwamba 777 min -me Poor Brainniliwahi kuomba kaz kwa mwaraabu akaniambia kaz utapata ila nataka huduma ya ziada.Nljitafakar mm kama mto wa kiume ntatoa huduma gani.Ilnibid niachane na hiyo kaz maramoja
Huyo dogo kiazi sana
Unaeza kuta hata ni jaji chande min -meHuyo dogo kiazi sana
Nishafanya utafitUmejuaje?
Elimu zenyewe ni za GPA 2.7, sasa unataka mwenye kampuni afaidike wapiZamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi .
Kwa miaka hii haki sawa wanaume na wanawake hr ni mwanaume na kazi wanataka mwanaume na mwanamke na wote wanatoa rushwa ya ngonoo dah hii hatari.
Hata kama ni hr mwanamke anapewa rushwa yangono ya mapenzi mwanamke namwanaume na wanapewa kazi kweli hali si hali ni ajabu.