Sasa haitumik izo value zinatoka wapi.??
Nikichenji utapata bia/sodaDuuuuh asee naomba iwe inatumika upate riziki yako![]()
![]()
hahahaa...mkuu umeitoa wapi???Mungu nisaidie
Na Mimi nilitaka kusema hvyoUtakuwa umesachi kwenye belo la nguo za mtumba...nenda Bureau de change watakusaidia au benki(CRDB,NBC,EXIM,NMB,Barclays) hapa utapewa majibu ya kukatisha tamaa tu
Nimeikuta kwenye makabrasha ya baba wa taifaNa Mimi nilitaka kusema hvyo
Kwa Hali ilivyo kiroba tu kinatosha bia anasaNikichenji utapata bia/soda

Basi ntakunulia GrantsKwa Hali ilivyo kiroba tu kinatosha bia anasa![]()
Umenigusa, nna muda Sana aisee sijapiga maji, hii halii hiiKwa Hali ilivyo kiroba tu kinatosha bia anasa![]()
Heshima kwa kila senti iliyo mfukoni,,, watatuua na kiu jamaniiiiiiiiiiiiUmenigusa, nna muda Sana aisee sijapiga maji, hii halii hii

Heshima kwa kila senti iliyo mfukoni,,, watatuua na kiu jamaniiiiiiiiiiii![]()
![]()
Wewe umesoma nini mkuu? Nini kisichoeleweka hapo? Hii JF imevamiwa!!!Hapa sijaelewa