Si ungewauliza wenyewe huko huko.........
Majibu wakupe wao....Explanation tutoe sisi....
maswali uulize wewe, majibu wakupe wewe, maelezo tutoe sie
AmevurugwaMajanga...........
uliomba nini hadi ukajibiwa hivyo?kuongea muongee wawili swali utuletee sisi,,,,,,,weka basi mazungumzo yenu yalikuwaje hadi akakujibu hivyo ili tupate pa kuanzia.
Amevurugwa
naamini hapa kuna wasichana pia na hii tabia wanayo akina dada wengi,. Bila shaka hapa ni mahala sahihi pa kupata ufafanuzi