Hii ni Orodha ya Teuzi ambazo Mheshimiwa Magufuli kateleza naye ameshajua anatafuta jinsi ya kuwatoa

Mkuu mkoa unaweza fanya vema wilaya zake zote, ukaangushwa na wilaya moja kama ilivo kwa kinondoni na DSM
 
Huyo Mwijage kwa kweli hawez, cjui ni vigezo gan vnatumika kuteuwa baadhi ya watu. Sijui hata ni nini anafanya pale. Lugola kaingia juzi ni mapema kumhukumu.
 
Hata kwa Kafulila kalamba dume, nadhani atamfikia Suleiman Jafoo kwa utendaji, Jafoo ni mtendaji huwezi msikia kwenye siasa chafu au wao ni kweli wanawatumikia wananchi hata Ummy MWALIMU ujakosea wanawatumikia wananchi kwa kweli
 
Nasikia brother K wa futuhi yupo kwenye paipline ya uteuzi.
 
Umemsahau Wa Kisarawe, hapo napo kabugi sijui ni hongo ya kwichi kwichii
 
Acha wivu wa kike, mwanaume.mzima.mambo ya kike ni aibu.
 
Magufuli na watu wake wa system wanajuwa Makonda huwa anajipigia promo hii ni moja wapo
 
Alipopatia Magufuli kwa uteuzi ni kumteua Waziri Lukuvi.

Jembe sana huyu jamaa.

Alipobugi ni kumteua Lugola na Mwijage.
Tena huyu Mwijage ni kama comedian
 
Hata kwa Kafulila kalamba dume, nadhani atamfikia Suleiman Jafoo kwa utendaji, Jafoo ni mtendaji huwezi msikia kwenye siasa chafu au wao ni kweli wanawatumikia wananchi hata Ummy MWALIMU ujakosea wanawatumikia wananchi kwa kweli
kuna jaffo,lukuvi,makamba na waziri mkuu hawa watu hawana show off wao kazi mwanzo mwisho,kigwangala shida aliyonayo anapenda sana mitandao y kijamii yeye kila kitu kuposti tu matukio yake
 
Mleta maana unaelewa maana ya uongozi?

Unajua tofauti ya kuwa muongeaji sana na kujitangaza, na kuwa kiongozi?

Kwenye list yako, watu uliokosea kabisa ni Makonda na Kigwangala. Hawa wawili ni watafuta sifa. Ni watu ambao wangependa kupata attention ya vyombo vya habari kuonesha kuwa wanafanya kazi sana lakini hakuna RESULTS.

Makonda kitu pekee alichofanikiwa ni matengenezo ya magari ya polisi. Matengenezo yale, kwa muundo wake aliiga toka kwa polisi wa Burundi (siyo vibaya kuiga jambo zuri).

Hawa wawili, hakuna ambacho kinaonekana wamefanikiwa. Huko kwenye sekta ya utalii, japo watalii wanaongezeka kwa kiasi kidogo lakini ukuaji wake umeshuka toka 15% mpaka 3.2%.

A good leader is not that who shouts a lot but is the one able to convince his/her people to rally behind him/her towards the right direction. He/she is thebone that who creates more leaders, the one able to make his/her people to have ownership of their responsibilities.
 
Sio bure umetumwa kuwasafisha watu fulani hapa
nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…