Hii ni namba ya wap?

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
0411400449 wakuu hii ni namba ya cm ya mezani au mkononi msaada plz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbona inafanana na namba ya obama?....mmh!! mimi sijui
 
0411400449 wakuu hii ni namba ya cm ya mezani au mkononi msaada plz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wewe ungepokea ukachonga naye ungejua ni namba ya wapi. Btw, nadhani ni ya voda au tigo na tabia zao za kuwapigia simu watu na kuanza kuwasommea matangazo!
 
wakuu kuna mzungu kanipigia anataka kuonana na mimi sasa nilikua nauliza kabla sijabakwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…