Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,581
- 59,670
Somaliland haitambuliki kimataifa.
natamani kufika somaliland, na nipate mke wa kisomaliland
Hapo ni Somaliland na siyo Mogadishu, Somalia. Wao wana amani tofauti na wenzao wa Mogadishu.
Na hapo ni sokoni wanabadilisha fedha, kama sisi huku kwenye bureau de change.
Huko hakuna wizi, mafedha yote hadharani na amani tele.
dah kwani ilikuwa lazima u cc mtu kwenye jibu lako!!? si bure
Niliona hiyo clip, yaani watu wanaacha hela barabarani bila hata mlinzi wanaenda Msikitini.MZEE MAKWAIA WA KUHENGA aliwahi kutembelea hiyo nchi! Na akairusha clip channel 10, yote uliosema yanafanana na ile clip ya Mzee Makwaia!
Lakini kwa bahati mbaya nchi nyingi haziitambui. Hivyo kila mtu lazima awe na passport mbili ya Somalia na Somaliland. Hata jumuia za kimataifa lazima zipate go ahead ya Somalia ili ziweze kufanya kazi Somaliland. Hata hapa TZ hatuitambui Somaliland Officially.Uzuri wa Somaliland wamejikata na somalia kuepusha mpasuko wa Al shabab na siasa chafu, wanaendelea siku hadi siku
Hahahahahaaaa John Ezekiel wasiwasi wako tu, yeye ndio aliuliza. Nimejaribu kufanya hivyo apate taarifa kishajibiwa, hakuna la zaidi. Nawewe hapa si bure hahahahaaa
ela gan hizo mbona makubwa sana. ....
Us dalar 1 ni somaliland sh. 705
Inamana pesa yao IPO juu kuliko ya kwetu
hiyo ni somaliland mkuu iliyokuwa putland zamani, mogadishu hawawezi fanya hivyo ujue alshabab watakula sikukuu