Hii ni Mimba au Mateso?

mimba zinasumbua kwa wadada wa mjini tu,juzi mama yangu alikuwa akishangaa mimba za siku hizi zimekuaje
 
Mambo mengine mnafanya kusudi aisee, hapa saiz nimerudi home hata sijatulia nimeambiwa nikaanue nguo zilizokauka[emoji16]
Hapo si unamsaidia tuu? Labda kachoka tuu.
Mbona hata sio usumbufu..ungeambiwa ufue kabisa jee?
 
Pole, wanawake recently wanadeka sana. Enzi za wazazi wetu mambo hayakua hivo kabisa. Mwanamke akikuzoea sana, anakutesa.

Mna act upendo sana! That's nonsense. Kwani ukikataa mimba itatoka?
Umesema ukweli mtupu. Wanawake ni wajanja sana. Anamsoma kwanza mwanaume kabla hajaanza kufanya vituko. Zamani enzi za mama zetu haikuwa hivyo kabisa. Angemdekea nani? Izzyhass hilo linatokea kwa wanaume wengi. Anakuwa na kisirani na kila saa anataka akusumbue tu. Japo wataalam wanasema ni mbadiliko ya hormone lakini mwanamke huwa anaangalia na aina ya mwanaume aliyenaye. Ila vumilia tu baada ya muda atapunguza.
 
Hili limekaa vyema coz hata daktari alinishauri hivyo ndio maana muda mwingi ninajikuta ninafanya atakachohitaji, ila nitaanza kumkatalia vtu ambavyo nitona analeta utoto.
Mwanamke wa aina hiyo ukitaka kumkomesha kama mama yake mzazi yuko hai na ana nafasi, umchukuwe aje aishi na ninyi. Hata mama mzazi wako anaweza kusaidia. Kwa kifupi mtafute mwanamke mtu mzima, aliyekwisha zaa aishi na ninyi. Nakupia hatathubutu kudeka vitu vya kijinga na akideka mama yake mzazi atamkomesha.
 
Mdekeze mtoto wa watu haumegeki popote pale.
Muoneshe ye wa thamani kwako akuzalie mtoto mwenye akili timamu.
Jitie kiburi mpe stress azae toto kichwa kibovu(hana akili).
 
Ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie, ana wa kumdekea, kwa nini asideke?
 
Mbona hawa wanacheza kabisa Amapiano?? Wake zangu hawa
Your browser is not able to display this video.
 
asilimia 80 wanafanya makusudi kukomoa wanaume, wanawake wa sas hv wanapenda 50 kwa 50 beijing, sasa kwenye mimba ndio wanaitumia vizuri sana, mvumilie to mkuu fanya unavyoweza, ambavyo huwezi mwambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…