Hii ni Mimba au Mateso?

Pima mwenyewe ukiona kina mantiki kakuomba fanya,ukiona anao uwezo wa kukifanya mwenyewe kataa kufanya then utaona,though jitaidi kwenye Mambo mengine usimkere kiasi Cha kumweka kwenye msongo was mawazo
 
Hili limekaa vyema coz hata daktari alinishauri hivyo ndio maana muda mwingi ninajikuta ninafanya atakachohitaji, ila nitaanza kumkatalia vtu ambavyo nitona analeta utoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado sana hapo ndo Kwanza mwanzo tulia dawaikuingie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado sana hapo ndo Kwanza mwanzo tulia dawaikuingie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mambo mengine mnafanya kusudi aisee, hapa saiz nimerudi home hata sijatulia nimeambiwa nikaanue nguo zilizokauka[emoji16]
 
Mambo mengine mnafanya kusudi aisee, hapa saiz nimerudi home hata sijatulia nimeambiwa nikaanue nguo zilizokauka[emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hadi siku iishe utakuwa umeshatumikishwa sana
 
Huyo ndo anafaa, kila saa akisogea tu imoo. Atakuona kero hatakusumbua Tena.
 
Mkuu, huyo mwanamke mpime mimba kwanza.....wanawake wa aina hii wanakuwa hawana mimba yoyote. Atakusumbua weee, baada ya miezi kadhaa atakuambia mimba imetoka. Huyu inaonekana ulimuomba akuzalie mtoto; kwa hiyo anajua kwamba una kimuhemuhe na mtoto, hivyo ameamua kukupelekesha na hiyo mimba yake feki. Kuwa makini ndugu...mjini hapa.
 
Ameshapima mkuu, na kipimo ninacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…