Watu wa gender balance si ndio???Udhalilishaji mtupu huu! Watu wa haki za binadamu waingilie kati kukemea upuuzi huu! Mwanamke si bidhaa bwana!
Hapana. Gender balance ni tofauti na human rights.Watu wa gender balance si ndio???
Huyo mwana mke ndo atabaki na nyumba wewe ukiwa umekufa muda mfupi baada ya kununua hilo Bangalore.... kweli maisha ni mipango!Iko poa, kila kitu mipango.
Yeah, siku hizi hata mahouse girl ni wakidigital. Anakuja anasoma ramani wiki mbili tatu baada ya hapo umeenda job ukirudi unalia.Huyo mwana mke ndo atabaki na nyumba wewe ukiwa umekufa muda mfupi baada ya kununua hilo Bangalore.... kweli maisha ni mipango!
Nyie wenyewe ndo mnataka kudhalilishwa kwa sababu nimategemezi sana na maombaomba sana.ukiombwa maku unaanza kuleta invoices. Utafikiri nyie hamsikii rahaUdhalilishaji mtupu huu! Watu wa haki za binadamu waingilie kati kukemea upuuzi huu! Mwanamke si bidhaa bwana!
Kwani kashikiwa bunduki .......??Udhalilishaji mtupu huu! Watu wa haki za binadamu waingilie kati kukemea upuuzi huu! Mwanamke si bidhaa bwana!
Wanaume walivyo wajanja kwenye biashara wee acha tu. Nyumba imedoda sokoni anataka ipate mteja haraka anaweka picha ya mwanamke eti ukinunua hiyo nyumba na mwanamke ni wako.Huenda hata huyo mwanamke hana habari picha yake imewekwa kwenye tangazo la kuuza nyumba.Kwani kashikiwa bunduki .......??
Dada hatutakiwi kuongea HISIA maana tunaweza kuingia kwenye ule utafiti wa 4:1 na mimi si wa hivo.Wanaume walivyo wajanja kwenye biashara wee acha tu. Nyumba imedoda sokoni anataka ipate mteja haraka anaweka picha ya mwanamke eti ukinunua hiyo nyumba na mwanamke ni wako.Huenda hata huyo mwanamke hana habari picha yake imewekwa kwenye tangazo la kuuza nyumba.
HISIA umezianzisha wewe mwenyewe sasa hutaki tena?Dada hatutakiwi kuongea HISIA maana tunaweza kuingia kwenye ule utafiti wa 4:1 na mimi si wa hivo.