DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,596
- 6,161
kweli kabisaNgoja watu wa JICHO LA TATU waje.
hahahHuyu wamemuandaaaa tu
Fatuma amepangwa tu
Kupoteza wajinga wachache
Kwanini uyo Mungu asingeponya kabla ya fatuma kupita kanisani
Ujinga tu
aseeMwambieni mimi SALOK namkanya huyoo Nabii feki aache utapeli.
duuhUsiku kabla ya kulala unakulaga chakula gani....kama ni ugali polee sanaa jombaa
Yaani ameshindwa kuwasaidia hao walioko humo ndani wana shida nyingi anakimbilia wapita njiaNimepita mitandaoni kama kawaida mimi ni mpenzi sana wa Kufuatilia mafundisho ya Dini hasa ya Kikristo napenda sana huduma za Kinabii pia. nimekutana na hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Prophrt Philnbert Paskali amabaye ni muhubiri wa kanisa la kigamboni.
Sasa watu wa Jicho la Tatu je hii ni kweli? angalia mwenyewe
View: https://www.instagram.com/prophet_philbertpaschal/reel/DLxihgcMofC/
Matapeli wa Injili hawa.Nimepita mitandaoni kama kawaida mimi ni mpenzi sana wa Kufuatilia mafundisho ya Dini hasa ya Kikristo napenda sana huduma za Kinabii pia. nimekutana na hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Prophrt Philnbert Paskali amabaye ni muhubiri wa kanisa la kigamboni.
Sasa watu wa Jicho la Tatu je hii ni kweli? angalia mwenyewe
View: https://www.instagram.com/prophet_philbertpaschal/reel/DLxihgcMofC/
Hahaha....hata Maji ya Mwamposa huko hayafanyi kaziKama una nabii wako unamwamini twenzetu Muhimbili au Ocean Road akasaidie watu wana hali mbaya...
aseeHahaha....hata Maji ya Mwamposa huko hayafanyi kazi
Ulishawahi kujaribuHahaha....hata Maji ya Mwamposa huko hayafanyi kazi