Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,217
acheni UjingaAnahusika kwa sababu ya wingi wa kontena au kwa kuwa anahusik kwa uzembe au ufhifu It does not make sense!
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia hili naomba anipe usahihi. JPM alizuru ofisi ya PM jana, leo PM -( hawavumi lakini wamo) akatinga bandarini akaibuka na issue, jioni mtu akatemwa na Dr Mapngo akapew kazi! Haya ni maigizo kama ya muhimbili? sijui yataisha lini.
Magufuli tunaona anafanya alafu unasema maigizo