Tutasikia mengi ila nasubiri ifike kwa JK ndipo nianze kuamini.
Mkuu, siyo maafisa wa TRA ya Tanzania tu, ni hata kipindi cha Yesu......walikuwa ni noouma! Si unamkumbuka Zakayo na maafisa wengine wa TRA ya wayahudi?
Tutasikia mengi ila nasubiri ifike kwa JK ndipo nianze kuamini.
Sifa unazotoa kwake (ZIWE NA KINAFIKI AU KWELI) ni baada ya kufanya hayo ikiwemo kumfukuza R.BADE ambaye bila kupindapinda ndiye amekufanya uandike...Jiulize Ameonewa?? Si kweli kupote kwa makontena hayo bila kulipiwa ushuru?? Alikuwa wapu wakati yanapotea?? Alimwajibisha nani kama kamishna mkuu baada ya kugundua?? Tatizo lenu CHAGADEMA mnaweka ukanda mbele kuliko kazi..ww na Ben Saanane alosema eti ni chuki hamtofautiani...ww umejificha kwnye ushauri uchwara lkn uko uchi kwa werevu
Mlitaka nchi apewe mzee wa kubeba asbhi na kurudisha jion ili mpige dili zenu...TUNASEMA IMETOSHA NCHI HII SIYO SHAMBA LA BIBI TENA..Mh.JPM PIGA KAZI ONDOA TAKA NA UOZO WOOTE BILA KUWATAZAMA USONI..awe wa kaskazini...kati...kusini...magharibi...ziwa au popote AKIKANYAGA KATIBA (WIZI NA UBADHIRIFU ) FUKUZA..WZALENDO NI WENGI..Na ss tujisikie raha hata tukiwa nchi zingine kuwa tuna nchi ya uadilifu..Take care
hivi unafikir kontena 300 Jk hausiki hapo?
Unadhani mh Magufuli ameweka makalio ofisini na kusubiri aletewe taarifa? Hujui kama leo mh waziri mkuu alikua bandarini???
Na kakuta uchafu ulio tukuka?
Kamishna kahojiwa na Waziri Mkuu,kuhusu orodha akasema hapo alipo hana labda aipate kwa wasaidizi wake,Waziri Mkuu akamuonesha orodha akakiri ni yenyewe.Akaulizwa mmefanya nini,anasema tunaendelea kufuatilia maana hawajajua ni akina nani wameiba hizo contena.Sasa hii bla bla ni ya nini.Unajua public interest is the interest of the government of the day.Sehemu potential kama TRA huwezi fanya mchezo,huo ni moyo wa nchi.Hayo mambo ya michakato badae,Kmaishna amesimamishwa hajafukuzwa kazi na amaendelea kupata haki zake kama mgfanyakazi mpaka hapo uchunguzi utakapokamilika.Tufikie hatua tuwe serious jamani.