Hii ni kweli kuhusu ugonjwa wa vichwa vikubwa?

ibn juma3 al-qaasimy

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
289
153
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, na folic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA na MATUNDA.

Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi wenye vichwa asilimia kubwa wanatoka vijijini, hali yakuwa wao niwatumiaji wakubwa sana wa MBOGA MBOGA na MATUNDA?
 
Inasemekana ... nani kasema??
 
we fuata tu ushauri wa daktari, ni vyema kwa mwanamke anayetarajia kupata ujauzito kuanza kutumia vidonge vya folic acid mapema (miezi 2 au 1) kabla ya kupata mimba na kipindi chote cha ujauzito.
hiyo huepusha hili tatizo kwa asilimia kubwa, lakini kuna visababishi vingine ni vigumu kuvitambua na kuviepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…